Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Karibu}}~~~~'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Karibu}}'''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele|majadiliano]])''' 09:31, 17 Septemba 2020 (UTC)
 
==[[Wachagga]]==
Habari zako, naona nyongeza yako ndefu kuhusu Wachagga / maoni kuhusu Wachagga. Kwa bahati mbaya hujaonyesha chanzo chochote. Matini yako inaonekana kama maoni matupu. Ingekuwa vizuri pale facebook au jamii forums lakini haileti elimu. Ukiwa na ushahidi Wachagga husafiri kushinda watu wengine - basi lete na uandike. Kama una ushahidi watu wanauliza sana kwa nini Wachagga wanasafiri - basi ulete ushahidi. Menginevyo napendekeza kifungu kifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])'''