Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 44:
==Usitafute picha kutoka Commons==
Ndugu, nasikia ninyi wa Arusha mmeshaambiwa kwamba msitafute tena picha kwenye commons, mchukue kutoka enwiki (au mkipata kitu itwiki, frwiki, dewiki). Kama hamna - basi mwuache. Tunaona picha baya nyingi mno zinazotafutwa kwa njia hiyo. Mfano ukiweka picha ya mchezaji fulani tu kwa sababu hujapata picha inayolingana na ligi Serie A. Picha zina kusudi, kuweka picha ovyo haisaidii. Naomba uitikie!'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])'''
 
==Tafsiri ya Kompyuta==
Katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Henry_Pope umeweka picha ya mtu ambae ndani ya makala hiyo jina lake linaonyesha bado halijaandikiwa hata makala, ila siyo mbaya sana, lakini tatizo linakuja pale unapotumia tafsiri ya kompyuta katika makala, katika jina la picha hiyo kuna kila dalili ya kuwa tafsiri ya kompyuta imetumika, mfano neno MKUTANO WA KUZUKA lina maana gani,si vyema kutumi mashine katika kutafsiri, pia angalia sana suala la picha, liendane na makal yako, Amani sana '''[[Mtumiaji:Idd ninga|Idd ninga]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Idd ninga|majadiliano]])'''