Suzi Lovegrove : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:40, 10 Agosti 2021

Suzi Lovegrove amezaliwa (1955 - 1987) alikuwa ni mzaliwa wa nchi ya Amerika aliyezaliwa akiwa na VVU. Mnamo mwaka 1987 Hadithi ya Suzi, ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye runinga ya Australia.Troy ambaye ni mtoto wa Suzi aliambukizwa virusi tangu akiwa tumboni. Mnamo mwaka 1993 alifariki akiwa na umri wa miaka saba.

Hapo mwanzo Suzi Lovergrove alikuwa mwigizaji aliye julikana kama Suzi Sidewinder. Mnamo mwaka 1983 Suzi alihusika katika sehemu ndogo ya filamu iliyojulikana kwa jina la Crazy, akicheza kama mshiriki wa bendi ya Nada, (Nada alicheza na rafiki wa Suzi aitwaye Lori Eastside ambaye baadaye alikuja kuonekana kidogo katika "Suzi's Story"). Walipo kuwa kenye ndege wakitazama sinema kati ya Marekani na Austrlia, ni wakati ambapo Suzi alibahatika kukutana na mwanaume wake wa baadaye aitwaye Vince Lovegrove. Miaka ya 1960 Vince alikuwa ni mwimbaji kiongozi wa The Valentines na kisha baadaye aliendaleaa kusimamia Divinyls na Jimmy Barnes

Viungo vinavyohusiana

AIDS Council of NSW