Ludwig Erhard : Tofauti kati ya masahihisho

33 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
New page: thumb|right|350px|Ludwig Erhard. '''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* 4 Februari, 1897 mjini Fürth; † 5 Mei, 1977 mjini Bonn) al...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Rittner_ludwigerhard1974.jpg|thumb|right|350px|Ludwig Erhard.]]
 
'''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* [[4 Februari]], [[1897]] mjini [[Fürth]]; † [[5 Mei]], [[1977]] mjini [[Bonn]]) alikuwa [[siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]].
 
==Maisha==
===Maisha ya awali===
Erhard alizaliwa akiwa kama mtoto wa mfanya biasharamfanyabiashara. Baada ya kumaliza mtihani wake wa kati, akaanza kujifunza masuala uuzaji ili aje kuwa mfanyabiashara. Alijeruhiwa kama mwanajeshi wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]vita, akaanza kusomea masuala ya uchumi katika chuo cha mjini [[Nuremberg]].
 
===Maisha ya baadaye===
Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika [[Frankfurt am Main|Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main]]. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya '''Great[[Mdororo Depression'''Mkuu]], kampuni ya baba yake ikafirisika.
 
Kuanzia [[1928]] hadi [[1942]], alikuwa akifanya kazi kama mwanasayansi msaidizi, lakini hakupata changamoto kwa kuwa alikuwa hataki kuwa mmoja kati ya wanajumuia ya Wanazi. Kuanzia [[1942]] hadi [[1945]], alikuwa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viwanda.
 
Toka [[1949]], alifanya kazi na chama cha CDU, lakini sana-sana kwenye 1963. kuanziaKuanzia [[1945]] hadi [[1946]], alijungaalijiunga na serikali ya ugawaji wa [[Bavaria]], baada ya hapo alikuwa ofisa wa uchumi wa Shirika Tawala za Kiingereza-Kimarekani huko [[Ujerumani ya Magharibi|Magharibi mwa Ujerumani]].
 
Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini [[Konrad Adenauer]]. Kuanzia mwaka wa [[1957]]- hadi 1963, alikuwa [[Machansela wa Ujerumani|Makamo wa Chansella]]. Baada ya Adenauer kujiuzukujiuzulu mnamo mwaka wa [[1963]], Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. mnamoMnamo mwaka wa [[1966]], [[Kurt Georg Kiesinger]] akampokea Bw. Ludwig Erhard.
 
Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini [[Konrad Adenauer]]. Kuanzia mwaka wa [[1957]]-1963, alikuwa [[Machansela wa Ujerumani|Makamo wa Chansella]]. Baada ya Adenauer kujiuzu mnamo mwaka wa [[1963]], Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. mnamo mwaka wa [[1966]], [[Kurt Georg Kiesinger]] akampokea Bw. Ludwig Erhard.
==Kifo chake==
Ludwig Erhard alikuhaalikuja kufariki dunia mnamo mwaka wa [[1977]] mjini [[Bonn]], [[Ujerumani]].
 
==Soma zaidi kuhusu Ludwig Erhard==
==Marejeo==
* Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
* Mierzejewski'''(de)''' Hentschel, Alfred C.Volker (20041996) Ludwig Erhard: aEin biographyPolitikerleben. Chapel Hill, LondonBerlin: University of North Carolina PressUllstein. ISBN 0 3-8078548-286326536-7
* '''(en)''' Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
 
 
 
{{Kanzler}}
 
 
{{BD|1897|1977|Erhard, Ludwig}}
 
{{DEFAULTSORT:Erhard, Ludwig}}
[[Category:Waliozaliwa 1897]]
[[Category:Waliofariki 1977]]
[[Category:Mawaziri wa serikali ya Ujerumani]]
[[Category:Wanasiasa wa Ujerumani]]
62,394

edits