Buganivilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ' {{Taxobox | image = | image_width = 240px | image_caption = | regnum = | divisio = | classis = | ordo = | familia = | genus = | subdivision_ranks = Species | subdivision ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:50, 29 Januari 2010

Buganivilia
Bougainvillea spectabilis
Bougainvillea spectabilis
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (mimea)
Faila: Magnoliophyta
Nusufaila: Magnoliopsida
Oda: Caryophyllales
Familia: Nyctaginaceae
Jenasi: Bougainvillea


Buganivilia (pronounced /ˌbuːɡɨnˈvɪliə/)[1] ni jenasi la mimea waotao maua yenye asili yake katika Bara la Marekani Kusini kuanzia Brazili na kusonga magharibi kuelekea Peru na kusini hadi Argentina kusini ([[Mkoa wa Chubut).

Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 za jenasi hii. Mmmea huu uligunduliwa nchini Brazili mnamo mwaka wa 1768, na Philibert Commerçon, Msomi wa mimea kutoka nchi ya Ufaransa alipokuwa akimwandama mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Kifaransa na mpelelezi Louis Antoine de Bougainville wakati wa safari yake ya kuizunguka Dunia.

Gallery

Gallery 2

External links

  1. Sunset Western Garden Book, 1995:606–607