Israeli (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Israeli''' ni jina linalotaja *'''Nchi ya Israeli''' ya kisasa *'''Watu wa Biblia''' wanaotajwa katika Tanakh au Agano la Kale na pia Agano Jipya **Yakubu mwan...
 
nyongeza
Mstari 1:
'''Israeli''' ni jina linalotaja
*'''Nchi ya [[Israeli]]''' ya kisasa
* [[Israeli ya Kale]] ambayo ni nchi au pia jumuiya ya watu ambao historia yao husimuliwa katika Biblia.
 
 
*'''Watu wa [[Biblia]]''' wanaotajwa katika [[Tanakh]] au [[Agano la Kale]] na pia [[Agano Jipya]]
**[[Yakubu]] mwana wa [[Isaka]] mwana wa [[Ibrahimu]] (Abrahamu) alipewa jina la Israeli baada ya ushindani wake na Mungu (tazama [[Mwanzo (Biblia)]] 32,29 "maana umeshindana na Mungu na watu nawe umeshinda"
**jina la pamoja kwa ajili ya makabila 12 waliotokana na wana 12 wa Yakobo-Israeli, mara nyingi kwa umbo la [[Wanaisraeli]]
**jina la milki ya kaskazini ya [[Israeli (milki)]] iliyoanzishwa baada ya kifo cha mfalme [[Suleimani]] kando la milki ya [[Yuda (milki)|Yuda]]; historia yao kwa jumla hujadiliwa chini ya jina "Israeli ya Kale".
** Baada ya angamizi la milki ya kaskazini katika vita dhidi ya [[Ashuri]] jina lilitumiwa kwa ajili ya watu wa milki ya kusini yaani watu wa milki ya Yuda
** Baada ya angamizi la milki hii ya kusini jina lilitaja [[Wayahudi]] kama jumuiya ya kidini na taifa lililokaa katika sehemu mbalimbali (linganisha matumizi katika Agano jipya kwenye [[Waraka kwa Waroma]] 9,6 na 11,25)