Kisindhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan, Uhindi na Singapuri inayozungumzwa na Wasindhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisindhi imehesabiwa kuwa watu 18,500,000 nchini Pakistan na wasemaji 1,700,000 nchini Uhindi. Pia kuna wasemaji 3970 nchini Singapuri (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisindhi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisindhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.