Yamuna (kwa Kihindi: यमुना, yamunā; pia: जमुना, Jamuna; kwa Kiurdu: جمنا) ni mto mkubwa huko Uhindi Kaskazini. Ni tawimto kubwa zaidi la mto Ganga.

Mto Yamuna
Beseni ya Yamuna
Chanzo milima ya Himalaya katika jimbo la Uttarakhand
Mdomo mto Ganga
Nchi Uhindi
Urefu km 1,376
Kimo cha chanzo mita 3,293
Tawimito upande wa kulia mito ya Chambal, Betwa, Ken, Sindh, Baghain
Tawimito upande wa kushoto miro ya Hindon, Tons, Giri, Rishiganga, Hanuman Ganga, Sasur Khaderi
Mkondo wastani m3 2,950
Eneo la beseni km2 366,223
Miji mikubwa kando lake Delhi, Mathura, Agra, Allahabad
Mto Yamuna katika mji wa Agra, Uhindi.

Huanza kwenye milima ya Himalaya katika jimbo la Uttarakhand. Unaendelea katika majimbo ya Uhindi ya Haryana, eneo la mji mkuu Delhi na Uttar Pradesh. Mwishowe, kwenye mji wa Allahabad, inaishia katika mto Ganga baada ya mwendo wa kilomita 1,370.

Matawimto yake muhimu zaidi ni mito Tons na Chambai.

Picha hariri

Tovuti za Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yamuna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.