Mababu wa Kapadokia

Mababu wa Kapadokia ni jina linalojumlisha maaskofu watatu wa karne ya 4 kutoka mkoa huo (leo nchini Uturuki): Basili Mkuu (330-379), mdogo wake Gregori wa Nisa na rafiki yao mkubwa Gregori wa Nazianzo.

Picha takatifu ya Mt. Basili.
Picha takatifu ya Mt. Gregori wa Nazienzi.
Picha takatifu ya Mt. Gregori wa Nisa.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mababu wa Kapadokia kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.