Mabatini (Mbeya mjini)
Mabatini ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania yenye Postikodi namba 53102. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,415 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53121.
Kata ya Mabatini | |
Mahali pa Mabatini katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mbeya |
Wilaya | Mbeya Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 6,602 |
Eneo la Mabatini iko kati ya kitovu cha kale cha Mbeya na kitovu kipya kwenye eneo la Foresti. Soko Matola pamoja na shule ya sekondari ya Meta ni sehemu ya Mabatini.
Marejeo Edit
- ↑ Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania | ||
---|---|---|
Foresti • Ghana • Iduda • Iganjo • Iganzo • Igawilo • Ilemi • Ilomba • Isanga • Isyesye • Itagano • Itende • Itezi • Itiji • Iwambi • Iyela • Iyunga • Iziwa • Kalobe • Maanga • Mabatini • Maendeleo • Majengo • Mbalizi Road • Mwakibete • Mwansekwa • Mwansanga • Nonde • Nsalaga • Nsoho • Nzovwe • Ruanda (Mbeya) • Sinde • Sisimba • Tembela • Uyole |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mabatini (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |