Igawilo ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,300 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53106.

Kata ya Igawilo
Kata ya Igawilo is located in Tanzania
Kata ya Igawilo
Kata ya Igawilo

Mahali pa Igawilo katika Tanzania

Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E / -8.89000; 33.43000
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 10,504

Baadhi ya mamwene au machifu wa Kisafwa walioishi katika eneo hili ni pamoja na: Mwene Male Mwashinga na Mwene Paul Mwashinga.

Igawilo iko jirani na Uyole kando la barabara inayopanda Uporoto kuelekea Tukuyu na Malawi. Wakazi wengi wa sehemu hii ni wakulima wa mazao ya chakula pamoja na bustani. Kuna shule ya sekondari ijulikanayo kama Igawilo.

Marejeo hariri

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
  Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania  

ForestGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwasangaMwasenkwaNondeNsalagaNsohoNzovweRuandaSindeSisimbaTembelaUyole