Majengo (Mbeya mjini)


Kwa maana nyingine za jina hili angalia hapa

Kata ya Majengo
Kata ya Majengo is located in Tanzania
Kata ya Majengo
Kata ya Majengo

Mahali pa Majengo katika Tanzania

Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E / -8.89000; 33.43000
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,958

Majengo ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 2,958 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,314 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53110.

Historia hariri

Majengo ni kati ya sehemu za kale kabisa za mji wa Mbeya. Mbeya ilipoanzishwa na Waingereza mnamo mwaka 1927 ilipangwa kufuatana na kawaida ya miji wa kikoloni ya Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu[3]:

  • Uzunguni kama sehemu ya nyumba za Wazungu na kando lake ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama)
  • Uhindini kama mtaa wa biashara iliyokuwa hasa mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya Uhindi ya Kiingereza na
  • Majengo kama sehemu kwa wafanyakazi Waafrika na familia zao.


Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14. 
  3. Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60, ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294
  Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania  

ForestGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwasangaMwasenkwaNondeNsalagaNsohoNzovweRuandaSindeSisimbaTembelaUyole


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Majengo (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.