Mabawe ni jina la kata ya Wilaya ya Ngara katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35708 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,823 waishio humo.[2]

Kata ya Mabawe inaundwa na vijiji vya Mukaliza, Murugina, Murugalama, Muhweza na Kumwuzuza.

Kituo cha Afya Mabawe ni miongoni mwa vituo vya afya vikongwe wilayani Ngara.

Mabawe ni kata inayosifika kwa kuwa na wasomi wengi ikilinganishwa na kata nyingine.

Kata ya Mabawe inapakana na nchi jirani ya Burundi.

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. Sensa ya 2012, Kagera - Ngara-District-Council
  Kata za Wilaya ya Ngara - Mkoa wa Kagera - Tanzania  

Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Kasulo | Keza | Kibimba | Kibogora | Kirushya | Mabawe | Mbuba | Ngara | Mugoma | Murukurazo | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamagoma | Nyamiaga | Rulenge | Rusumo


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mabawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.