Machafuko ya Ferguson
baada ya kupigwa risasi kwa Michael Brown mnamo Agosti 9, 2014 huko Ferguson, Missouri
Machafuko ya Ferguson (wakati fulani huitwa uasi wa Ferguson, maandamano ya Ferguson, au ghasia za Ferguson)[1] huko Ferguson, Missouri, yalihusisha maandamano na ghasia zilizoanza 10 Agosti , 2014, siku moja baada ya kupigwa risasi kwa Michael Brown na afisa wa polisi Darren Wilson.[2] Machafuko hayo yalizua mjadala mkali nchini Marekani kuhusu uhusiano kati ya maafisa wa kutekeleza sheria na waamerika wenye asili ya Afrika, jeshi la polisi, na sheria ya matumizi ya nguvu huko Missouri na nchi nzima.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Ferguson Riot and Ferguson Unrest (2014-2015) •" (kwa American English). 2018-07-07. Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
- ↑ 2.0 2.1 "Ferguson unrest: From shooting to nationwide protests", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2015-08-10, iliwekwa mnamo 2022-04-16
- ↑ "Ferguson unrest". HuffPost (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |