Machano wa Konya
Machano wa Konya (alifariki karne ya 3 au ya 4) alikuwa Mkristo wa mji huo wa Likaonia (leo nchini Uturuki) aliyeuawa kwa kukatwa kichwa baada ya mateso makali kwa ajili ya imani yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |