Magogoni (Mombasa)
Magogoni ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Kisauni nchini Kenya[1].
Magogoni (Mombasa) | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Mombasa |
Historia
haririKulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Magogoni (Mombasa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |