Eneo bunge la Kisauni


Eneo bunge la Kisauni ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi Nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Manisipaa ya Mombasa.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Said Hemed Said. Wa chama cha KANU, wakati Kenya ilikuwa na mfumo wa chama kimoja.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Said Hemed Said KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Rashid M. Mzee Ford-Kenya
1997 Emmanuel Karisa Maitha DP
2002 Emmanuel Karisa Maitha NARC Maitha aliaga dunia Mnamo 2004
2005 Ananiah Mwaboza LPK Uchaguzi Mdogo
2007 Hassan Ali Joho ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Bamburi 45,294
Ganjoni 18,791
Kisauni 117,889
Kongowea 86,678
Majengo 40,241
Mombasa Old Town 21,516
Jumla x
*Hesabu 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Bamburi 16,108
Frere Town 12,154
Kizingo 8,661
Kongowea 13,935
Maweni 13,688
Mjambere 9,476
Mji wa Kale / Makadara 15,243
Mwakirunge 4,136
Jumla 93,401
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Tanbihi

hariri