Majadiliano:Gamboshi
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Gamboshi. | |||
---|---|---|---|
|
|
{{Mradi wa Tanzania})
Kwa muda mrefu, suala uchawi husemwa kote duniani, tena tangu enzi na enzi. Hata ndani ya maandiko matakatifu uchawi hutajwa kwa lengo la kuukemea uchawi, ili jamii itambue ubaya wa taaluma hii. Nasema ni taaluma kwa kuwa ipo ndani ya jamii, na ni watu wachache sana humudu kuhimili miiko na masharti yake, na pia humchukua mtu muda mrefu kufikia daraja fulani la uchawi, lazima apitie majaribu mengi na ya kutisha sana ikiwa ni pamoja na kuuwa ndugu zake ama watoto wake ili kukamilisha viingilio katika jopo la wachawi. KARIBU KWENYE MJADALA. NAOMBA KUWASILISHA MAKERESIA PAWA
MBARALI.
Jiji la Gamboshi ni jiji lisiloonekana kwa macho ya kawaida. Lakini lipo tu, chanzo cha Gamboshi ni kukua kwa mawasiliano kati ya wachawi tnka pande mbali mbali ndani na nje ya nchi. Awali, mambo haya yalikuwa yakifanyika ndani ya jamii ndogo na finyu, hivyo hata kutambulika kwake kulikuwa finyu pia. Kukua kwa mawasiliano kumefanya hata wachawi kuunda Makao M
Start a discussion about Gamboshi
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Gamboshi.