Majadiliano:Kashenye

Mwana kashenye

hariri

ANDERSON BIGILWA MAKUBO alizaliwa katika kijiji cha kashenye 1970 tarehe 17/01nimjukuu wa omwami Ta Eustace Makubo na Bibi yake Omwamikazi Ma Mamerita ambaye anaishi kashenye mpaka sasa Omwami Ta Eustace alifariki mnamo 1987.

PESA YA TANZANIA YAITWA TOILET PAPER

hariri
 Habari zenu wana WIKIPEDIA Week hii siku ya juma tano tarehe 01/06/2011 nilikwenda kulipa malipo katika kampuni hapa
 Dar es salaam ofisi zao zipo jengo la pegt opp na moven peack wanaitwa PIL  nilipotoa pesa za kitanzania niliambiwa 
 Atupokei toilet paper nipata uchungu ambao nivigumu kuelezea wahindi ao wakishilikiana na wanaojiita wa Tanzania awa
 kujali wala kuona woga kabisa hivi hii nchi niyakwetu kweli? nimetembea nchi si nyingi sana ila sijawai ona pesa yao
 ikikataliwa.
Rudi kwenye ukurasa wa " Kashenye ".