Majadiliano:Kubadilika wa viumbe hai
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Naomba usome Charles Darwin na Jamii:Biolojia. Itakusaidia. Pamoja na Wikipedia:Ukufunzi.
Halafu :
- ubadilikaji - mutation
- jeni - gene
- mageuko ya spishi - evolution
- vema kukumbuka interwiki.
Karibu na wasalaam! --Kipala (majadiliano) 22:58, 4 Desemba 2009 (UTC)
- Kiswahili hakikubali kichwa cha namna hii. Labda kiwe Kubadilika kwa viumbe hai. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 04:11, 13 Desemba 2009 (UTC)
- Sawa Ndugu Riccardo, Anachomaanisha ni mageuko ya spishi nisipokosei. --Kipala (majadiliano) 16:53, 14 Desemba 2009 (UTC)
- Bado kidogo nicheke, lakini kumbe jamaa mwenyewe si mwongeaji wa Kiswahili fasaha! Nakubaliana na Riccardo. Jina liko tofauti sana.-- MwanaharakatiLonga 17:04, 14 Desemba 2009 (UTC)