Majadiliano:Mapafu

mapafu ya binadamu na moyo

Mapafu ni ogani inayo husika na mfumo wa upumuaji . mapafu hufanya kazi ya kuingiza oksijeni na kutoa hewa ya kaboni daioksaidi

wanyama kama binadamu na ndege na kama njiwa huwa na mapafu mawili na hujulikana kama pafu la kulia na pafu la kushoto

   UMUHIMU WA MAPAFU KATIKA MWILI WA KIUMBE HAI
  MAPAFU YA NDEGE

mapafu ya ndege hayana alveoli, badala yake yana mamilioni ya para-bronchi. Hizi para-bronchi zinakuwa na kapilari au mishipa ya damu midogo sana,hivyo utofauti baina ya mapafu ya binadamu na ya ndege kunaweza kuwa baina ya oksijeni na kaboni daioksaidi zinavyochangamana katika mapafu ya ndege.si kama katika mamalia ambapo utofauti wa mapafu ya ndege na wanyama unaweza kuonekana kuanzia kwenye alveoli. Jamii:biologia Jamii:upumuaji

Return to "Mapafu" page.