Majadiliano:Musoma (mji)

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Baba Tabita in topic Nyongezo katika ukurasa mwingine

Nyongezo katika ukurasa mwingine hariri

Tarehe 12 Julai 2013, mtumiaji asiyejisajili aliandika ifuatayo: "musoma ni neno la lugha ya kijita likiwa na maana sehemu ya nchi kavu iliyoingia ziwani,kwa lugha kijita hutamkwa "kumusoma".Awali eneo hili lilikua likiitwa na wazawa kumusoma,wakati huo eneo hili lilikua chini ya utawala wa kabila la wakwaya ambapo walikua chini ya mtemi wa kikwaya alieitwa Mukendo,neno hili lilianza kutamkwa kama Musoma wakati wa utawala wa kikoloni chini ya muingereza ambapo lugha ya kiswahili ilikua ikianza kushamiri katika maeneo ya bara.Utawala wa kikoloni baada ya kuanzisha mji wa Musoma walianza rasmi kutukia jina Musoma badala ya Kumusoma kama ilivyokua imezoeleka kwa wenyeji. brightsospeter@yahoo.com"

Niliyaingiza hapa kwa ajili ya kuhifadhi habari za Musoma. --Baba Tabita (majadiliano) 12:30, 3 Januari 2016 (UTC)Reply

Return to "Musoma (mji)" page.