Majadiliano:Pangani (mji)

Makala hii ni bora kabisa kuliko makala inayohusu Pangani katika Wikipedia ya Kiingereza. Labda mwaandishi angependa kuitafsiri hii na kuiweka pale?

Jengo linaloitwa "Boma la Wajerumani" yumkini lilijengwa na maliwali wa maseyyidi wa Unguja kwenye karne ya 19. Yaani, hili jengo pia ni baadhi ya yale "majengo ya kiswahili." Lakini nataka kuhakikisha kabla sijaiandikia kwenye makala.

Start a discussion about Pangani (mji)

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Pangani (mji) ".