Majadiliano:Ujerumani

Latest comment: miaka 8 iliyopita by 46.105.8.91 in topic Kiingereza

Kiingereza

hariri

Kwa nini majina ya majimbo ni kwa Kiingereza? Wawe kwa Kijerumani na kwa Kiswahili tu, au siyo? Marcos 17:10, 11 Aprili 2007 (UTC)Reply

Nimejaribu kuitikia mapendekezo yako. Ila nimesikia watu wakitumia umbo la Kiingereza - au la Kijerumani tu. Angalia - je inafaa? --Kipala 18:14, 11 Aprili 2007 (UTC)Reply
Niliona nirahisishe tena. --Kipala 18:18, 11 Aprili 2007 (UTC)Reply
Ahsante sana. Nimebadilisha Pomerinia iwe Pomerini kwa sababu nchini Tanzania (mkoani Iringa) kuna kijiji kinachoitwa Pomerini, na jina lake linatoka Pommern (kwa sababu ya wakoloni wa Kijerumai). Kwa hiyo inafaa kutumia Pomerini kama jina la Kiswahili kwa Pommern, au siyo? Marcos 12:26, 13 Aprili 2007 (UTC)Reply
w:en:New East Prussia katika ya Kiswahili? 46.105.8.91 09:42, 25 Aprili 2016 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Ujerumani ".