Majadiliano ya kigezo:Baki
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Oliver Stegen
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha kigezo ya Baki. | |||
---|---|---|---|
|
Hii kigezo Baki ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Vigezo, a collaborative effort to better organize, document and display all vigezo kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Badala ya kiolezo (template) hicho nimeanza kuweka Template:POV kwa vile maana ya "baki" hasa ni unrelated (kwa Kiingereza), au inagusa mabaki, k.m. mabaki ya chakula. Ndiyo sababu nimetumia "kutokupendelea upande wowote" ingawa ni maneno marefu. Nadhani yanaeleza sera ya wikipedia vizuri zaidi kuliko "baki". --Oliver Stegen 19:09, 19 Aprili 2007 (UTC)