Majadiliano ya kigezo:Mikoa ya Kenya

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Kwa ajili ya fomu hizi za aina za "template" zinazohusu mikoa au maeneo ya kiutawala ndani ya nchi fulani tunahitaji utaratibu. Majina ya mikoa itarudia kwa mfano "Kusini, mashariki" n.k. Tumeanza kitu hiki Tanzania tumeshakamilisha. Tukianza sasa Kenya naona majina yanarudia (kwa mfano: Pwani; .

Kwa sababu hii tufuate muundo ufuatao: Tukiweka jina la mkoa, jombo n.k. linaloonekana linaweza kurudiwa tuongeze jina la nchi kwa mabano. Tukianzisha templeti mpya na kuona jina linarudia limewahi kutumiwa kwa nchi fulani tayari basi tuongeze sasa mara ya pili nchi kwa mabano. --Kipala 20:52, 5 Machi 2006 (UTC)Reply

Return to "Mikoa ya Kenya" page.