Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 14:17, 13 Oktoba 2012 (UTC)Reply

Azerbaijan hariri

Ndugu salaam nimerejesha badiliko la jina ulilofanya kwa makala ya Azerbaijan. Naomba wewe ukiwa mgeni ukiona haja ya kuleta mabadiliko heri utangulie kuandika pendekezo kwenye ukurasa wa majadiliano wa makala husika pia kumtafuta mwanzilishaji wa makala na kumwandikia. hii si lazima lakini ni ushauri. juu ya jambo lenyewe tunafuata (tunajaribu kufuata!) hapa uataratibu: kama nchi ina jina la kidesturi kwa Kiswahili tunaitumia (kama vile Uajemi, Uingereza); kama si nchi iliyojadiliwa sana kwa Kiswahili tunatumia jina la Kimataifa; halafu tunaweka redirects ili kila mtu anaweza kufikia pale anapotafuta kirahisi.

Kubadilisha jina mahali pamoja mara nyingi haifai. hapa unatakiwa kutafakari maeneo mengine yanayotumia jina hili (km katika Uajemi), jina la taifa (Waazeri) na jina la lugha (Kiazeri). Ukiwa na pendekezo - lete tu! Kipala (majadiliano) 14:31, 13 Oktoba 2012 (UTC)Reply