DAVID LINGO
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Kipala (majadiliano) 09:39, 27 Novemba 2021 (UTC)
Nudugu ninapaswa kukuonya. Umeleta makala ambako hujajaribu kuelewa zinahusu nini. Mfano Anita Blaze. Huyu hana " uzio wa foil ", jamabo ambalo halipo kwa Kiswahili. Umetumia hovyo google translate bila kutafakari maana yake ni nini. "fencer" kwa Kiingereza ni mtu anayapigana kwa kutumia aina nyembamba za upanga yaani kitara, siku hizi kama mwanariadha, zamani pia kama askari au kwa kujitetea. Kama ungetafuta maana, ungekuta maelezo kama hapa: https://wikidiff.com/fence/fencing. Pia hukujali kuangalia "cadet championship" ni nini, umemwaga tu maneno ambayo hayaeleweki. Tafadhali usiendelee kuunda makala bila kufanya utafiti, unasababisha kazi kwa wengine! Acha kutafsiri mambo ambayo huelewi. Ukirudia kuhariri hovyo, unaweza kuzuiwa hapa.Kipala (majadiliano) 07:39, 3 Desemba 2021 (UTC)
- sawa mkuu nimeona naomba radhi haitojirudia tena ntakua makini zaidi. 41.78.64.254 19:18, 3 Desemba 2021 (UTC)
- Ndugu naona unaleta makala ambako jamii ya pekee ni USWLO. Hii ni bure kabisa. USWLO haisaidii kitu isipokuwa inamsaidia yule aliyewakusanya. Jamii unahitaji kuweka jamii za makala husika! Mfano Ashleigh Barty, lazima ufanya utafiti kama tuna makala ya kriketi. Basi kwanza weka kiungo cha ndani, pili unganisha na jamii husika. Utaona kriketi iko (kwa kiungo), lakini jamii bado. Hapa unatakkiwa kutafuta neno kriketi inatokea penginepo kwenye dirisha la kutafuta (usitafute makala, utafute neno). Utaona mstari mrefu wa majina ambao inaonekana wote wi wachezaji wa kriketi, lakini hadi sasa hakuna aliyeziunganisha. Sasa una nafasi kufanya jambo la maana sana: Pitilia makala zote, ingiza kiungo cha ndani kwa "kriketi" halafu anzisha jamii ama "jamii:kriketi" au "jamii:wanariadha wa kriketi" (utakayounganisha pia na "Jamii:Wanariadha"). Na anzisha makala zote na jamii uliyounda. Hii ni njia ya kuongeza thamani kwenye wikipedia yetu!
- Halafu kuhusu Manon Brunet: unatumia neno "saber" ambayo si kiswahili. Je ulitafuta Kiswahili chake? Ukiweza "saber" kwenye dirisha la kutafuta utapata makala husika.
Kipala (majadiliano) 09:57, 8 Desemba 2021 (UTC)
- asante kaka nitalifanyia kazi DAVID LINGO (majadiliano) 08:22, 11 Desemba 2021 (UTC)
- alafu kuhusu hyo USWLO ndiyo jamii pekee tuliyoelekezwa tuitumie sasa sijakuelewa vizur ulivosema USWLO haisaidii kitu DAVID LINGO (majadiliano) 08:24, 11 Desemba 2021 (UTC)
- Kusudi la jamii ni hasa kupata habari kuhusu mambo yanayohusiana. Mfano ukipanga makala katika unaweza kuangalia haraka kama huko wako wengine, kama wa kike wako (sioni) na hivyo, ukipenda habari hizi, inakusaidia kupanga kazi yako ya mbeleni. Pia utaona haraka kama mabondia (au wapiga ngumi, hatuna umoja wa kutumia istilahi) wameshapangwa katatika makundi ki-nchi (wako kwa nchi kadhaa, Tantania, Marekani, Kenya).
- Muundo wa jamii inasaidia pia kudhibiti matokeo ya mazoezi kama USWLO maana kama wote wanaitumia mratibu ataona baadaye matokeo kwa taarifa yake. lakini nje ya taarifa hiyo matumizi haya hayana faida kwa kazi ya kuendelea (labda kudhibiti matatizo kama zoezi moja lilikwenda vinaya, kwa kufuatilia..). Kipala (majadiliano) 09:49, 11 Desemba 2021 (UTC)
- alafu kuhusu hyo USWLO ndiyo jamii pekee tuliyoelekezwa tuitumie sasa sijakuelewa vizur ulivosema USWLO haisaidii kitu DAVID LINGO (majadiliano) 08:24, 11 Desemba 2021 (UTC)
Kukuzuia
haririImenipasa kukuzuia kwa ubishi wako. Nilifuta makala yako isiyo na tija, ukaifufua kwa kuitangulizia sentensi ya Kiingereza! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:20, 14 Mei 2023 (UTC)