Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/Archive 1

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala in topic Nice work
Archive Hii ni ukurasa wa Hifadhi ya Majadiliano ya Awali. Usihariri ukurasa huu usiongeze wala kupunguza kitu.
Ukitaka kujadiliana upya mambo yaliyomo humo nenda kwa ukurasa wa majadiliano ya sasa.

Kipala, asante sana. Hongera kwa kazi zako. Tuendelee hivi hivi iko siku watakuja wengi zaidi kusaidia. Safi kwa nyongeza yako kwenye Alfu Lela U Lela. Bado nitaipitia tena kuiboresha.

makala 1000:Tupeane hongera

Jamani tumefikia makala 1000 - nimefurahi! Tusichoke - lakini mimi nitapunmzika sasa na kutembelea Waswahili wenyewe walipo! --Kipala 15:06, 25 Julai 2006 (UTC)Reply

Hongera na wewe! Na shangwe kubwa! Kweli tukazane na mwendo huu mzuri wa miezi hii iliyopita. -- Oliver Stegen 09:14, 27 Julai 2006 (UTC)Reply

Media in Africa conference paper

Jambo, Kipala! sorry in English, I heard lately an Africa-related project on meta; it will focus on African language projects and their community, and if I recall correctly, Swahili is one of the oldest African language Wikipedia. I guess you may want to say something on Swahili Wikipedia as one of very active contributors. Please give a look to meta:Media in Africa conference paper and if you are interested in, please let us other Wikipedians active here know this conference and paper preparation. Thank you for your interest,

--Aphaia 06:32, 31 Desemba 2005 (UTC)Reply

Picha

Habari za kutumia Wikipedia? Sasa nitakuelezea kidogo matumizi ya picha:

Ukitaka kutumia picha iliyopo katika Wikipedia ya lugha nyingine, unatakiwa kwanwa kuweka picha hiyo katika kompyuta yako. Baada ya hapo, unaweza kuiweka Wikipedia ya Kiswahili.

Kwa kuweza kuingiza picha katika Wikipedia ya Kiswahili, unatakiwa kuingia kwa kutumia jina lako (bofya juu kulia), halafu chini kushoto utapata kiungo kinachoitwa "Pakia faili" (chini ya andiko "vifaa"). Bofya kiungo hicho.

Katika ukarasa ujao, unabofya "Durchsuchen" na kuchagua faili ya picha katika kompyuta yako. Halafu bofya "Upload file", na picha itakuwemo Wikipedia ya Kiswahili.

Unaweza kutumia picha kwa kuandika [[Image:jina_la_picha.jpg]].

Usipoelewa maelezo yangu, niuliza tena na nitakuelezea zaidi. Marcos 17:23, 6 Januari 2006 (UTC)Reply

Aidha ikiwa picha ni huru (GFDL, Creative Commons, PD etc) ni bora kupakua Commons badala ya hapa, kwa sababu Wikipedia za lugha zote zitaweza kuitumia. Matt Crypto 19:54, 1 Februari 2006 (UTC)Reply

Kuelekeza

Ili kuelekeza kutoka jina moja kwenda jina sahihi la makala, tumia

#REDIRECT[[Jina la makala]]

Unaweza kuangalia mfano huu: Abunuwasi. Marcos 23:37, 8 Januari 2006 (UTC)Reply

Infobox Country

'
[[Picha:{{{image_flag}}}|125px|Bendera ya {{{common_name}}}]] [[Picha:{{{image_coat}}}|110px|Nembo ya {{{common_name}}}]]
[[Bendera ya {{{common_name}}}|Bendera]] [[Nembo ya {{{common_name}}}|Nembo]]
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: {{{national_anthem}}}
[[Image:{{{image_map}}}|250px|Lokeshen ya {{{common_name}}}]]
Mji mkuu {{{capital}}}
4°24′ S 15°24′ E
Mji mkubwa nchini {{{largest_city}}}
Lugha rasmi {{{official_languages}}}
Serikali
{{{leader_titles}}}
{{{government_type}}}
{{{leader_names}}}
Uhuru
{{{established_events}}}
Kutoka Belgium
Juni 30, 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
{{{area}}} km² ({{{area_rank}}})
{{{percent_water}}}
Idadi ya watu
 - [[{{{population_estimate_year}}}]] kadirio
 - Msongamano wa watu
 
{{{population_estimate}}} (20th)
{{{population_density}}}/km² ({{{population_density_rank}}})
Fedha Congolese franc (CDF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET, EET (UTC+1 to +2)
not observed (UTC+1 to +2)
Intaneti TLD .cd
Kodi ya simu +243

-

¹ Estimate is based on regression; other PPP figures are extrapolated from the latest International Comparison Programme benchmark estimates.


nimejaribu kutafsiri fomu hii kutoka Matt Crypto sehemu ya kwanza lakini naona kwa wikipedia yetu ni vigumu kiasi hatuna wataalamu wa kutosha. Tutumie fomu iliyorahisishwa ! --Kipala 23:30, 17 Aprili 2006 (UTC)Reply

Unahitaji kutumia "_" kwa neno kama native_name, kwa mfano. Ukitafsiri neno kama native_name, ni lazima kubadili templeti pia. Nitafanya hiyo. Kutengeneza templeti ni kitu kigumu cha Wikipedia, lakini ni rahisi (kidogo!) kutumia katika makala bila kujua jinsi inafanya kazi. Matt Crypto 07:50, 18 Aprili 2006 (UTC)Reply
Ugumu: simaanisha fomu yenyewe. Ninafikiri ya kwamba vipengele ni vingi mno. Tena sipendi sana namna ya kutaja sifa za nchi. Nitajaribu baadaye. Je, wewe unaonaje ile fomu rahisi niliyotumia katika mfano wa Kongo?? --Kipala 08:07, 18 Aprili 2006 (UTC)Reply
Vipengele vipi? Ni rahisi kuvificha. Naona ni rahisi kuinakili fomu ya nchi fulani kutoka Wikipedia ya Kiingereza (en) halafu tuitafsiri. Sasa sijui ikiwa ni bora kutafsiri neno kama utc_offset. Tukiyatafsiri, hatutaweza kunakili moja kwa moja kutoka en. Labda ni bora kusubiri mpaka Wikipedia hii ni kubwa zaidi, na sasa tutumie maneno ya kiingereza (katika "Wikicode" tu). Matt Crypto 08:17, 18 Aprili 2006 (UTC)Reply

Picha: PNG vs JPEG

Kipala, kwanza ininibidi kukushukuru kwa dhati kwa michango yako mengi ya makala na picha. Asante sana kwa kukuza toleo ya Wikipedia hii ya Kiswahili! Nina maombi kuhusu romani kama Lamu katika Kenya.JPG. Je, unaweza kutumia fomati "lossless" (maanake bila dosari) kama .GIF, au afadhali .PNG? Fomati ya jpeg ni fomati "lossy" (kuna dosari). Jpeg ni fomati nzuri kwa foto na picha kama hii, kwa sababu dosari za jpeg hazionekani. Lakini, ikiwa ni romani n.k., dosari zinaonekana mno, hasa karibu na maneno au mistari. Programu yako ya kuhariri picha ina uwezo kutumia fomati kama PNG? Pia, ninakuhimiza kupakia faili huria kama hizi kwenye Wikipedia Commons, ili matoleo yote ya Wikipedia yataweza kutumia picha kutoka mahala pamoja. Matt Crypto 19:25, 18 Aprili 2006 (UTC)Reply

Usicheke, kwa kawaida nashughulikia picha na ramani kwa kadogo-kalaini "paint"- paint ina png pia. Sawa, najaribu kuikumbuka. Wikipedia Commons sijafaulu kifika. Anwani gani? --Kipala 20:06, 18 Aprili 2006 (UTC)Reply
Ninacheka kidogo tu: sasa najua mchoraji wengi wanaotumia Paint! Anwani ya Commons ni http://commons.wikimedia.org/. Isitoshe, nimebadilisha fomu ya kupakia ili ipendekeze Commons: [1]. (Nimegundua kikwazo kidogo: unahitaji kuumba akaunti ("account" kwa kiingereza) nyingine huko Commons -- lakini si ngumu. Unaweza kutumia jina la "Kipala" tena). Matt Crypto 16:31, 19 Aprili 2006 (UTC)Reply



Habari hii imepatikana kwenye jarida la URITHI Tanga www.geocities.com/urithitanga Habari hii inapatikana kwenye toleo la Vol.2 No.1 URITHI Newsletter September 2001 ambapo wanaelezea kwamba chanzo cha habari ni East African Newspaper ya 16th July 2001 Ahsante kwa kutaka kufahamu kwa kina, hili ndilo jukumu letu.


Habari ya mwaka mpya! Samahani ninaomba tusaidiane kuupata ukweli, kitabu cha The story of East Africa and it's stamps kilichoandikwa na James A. Makay Kimeandikwa; Uganda ina maili za mraba 93,980 na katika Jarida la National Geographic la November 1971 limeandikwa; Uganda ina maili za mraba 91,134. Ahsante.


Mwaka mpya salama. Sasa wanipa ugumu ukianza mambo ya maili; mimi ni mtu wa mita. Nimeangalia kamusi elezo zangu mbili zilizoko kwa CD:
Encycl. Britt. inasema : 93,072 square miles (241,038 square km), na MS Encarta inasema: 241 038 km².
Kwa sababu zinalingana zote mbili, ningeenda na hiyo lakini kwa kutaja km². --Kipala 19:24, 7 Januari 2006 (UTC)Reply


Nimeweka wimbo mmoja wa Simba Wanyika, Shilingi Maua. Ngoja nitazame hizo nyingine. Halafu nitajaribu kuomba ruhusa ya kutumia picha za jamaa wa Afropop. Nadhani hawatakuwa na sababu za kukataa. --Ndesanjo 19 Machi 2006

Geographical names

Hi Kipala! The list of names I used was mainly from the Kamusi Project site, but I did some searching on Google. There were quite a few countries that I couldn't find the names of. Sorry I haven't been active lately, so I didn't check for new messages. --Chamdarae 19:14, 25 Machi 2006 (UTC)Reply

Bwana kapala

Mie, kajaribu kupedua jina la mayotte hadi mahore, Jina la Ethiopia hadi Uhebeshi, lakini Msumbiji, ilikuwa sawa; samahani kosa, kathani hasa Msumbiji mie kaweka, Mozambiki la mwengine. Nilitumaini hasa Nchi zinazo majina zaidi ya moja hasa ukibonyeza yeyote Nenda, taratibu hii ya komputa iwezekuleta Kifungo kimoja. samahani.

Bwana Kapala

Yosef tena; Ningiataka kujua hasa, wewe ndiye msimamizi wa Kamusi elezo hii ya wikipedia? Na jambo linalonisumbua hasa ni kujitahidi kwa uandishi wa taratibu hizi za nchi na Jiografia. Naona hasa tuko nyuma zaidi. Haya Masanduku ya nchi hasa za Afrika, Ulaya, Marekani na Asia, Australia, aktika na antaktika; Uandishi wa dunia yote, tukaweza kumaliza uadishi huo basi tutakua na makala elfu na kadhalika. Na mojawapo ya mwendo ni meona hasa, tunga weza kufanya kama wekipedia ya Afrikaans basi Kiswahili kitagonga makala zaidi ya elfu na kadhalika. Neno lingine ni kwamba hatuna waandishi wengi, jua waadishi kwa wikipedia hii ya Kiswahili waesabika pengine saba amakumi, na wanao rudi mara kwa mara kuandika nikama waandishi watano.

Yosef, asante kwa swali. Hapana mimi si mratibu wala msimamizi wa wikipedia bali mwandishi mwenzako tu. Ni kweli ya kwamba tuko wachache sana. Hata katika wikipedia tunapambana na umaskini wa Afrika na urithi wa ukoloni. Umaskini umesababisha uhaba wa kompyuta na wenye kompyuta katika Afrika. Ukoloni umesababisha ya kwamba Waafrika wengi wasomi hawajiamini katika utamaduni wao; Waafrika wa Mashariki wengi awajui Kiswahili vizuri. Hata wasomi Watanzania wengi wanajieleza vizuri zaidi kwa Kiingereza kuhusu utaalamu fulani. Tokeo ni ya kwamba idadi yetu bado ni ndogo, asilimia kubwa kwetu ni ama Waafrika wanaokaa nje ya Afrika au watu wa nje (kama mimi) wapenda wa Kiswahili.
Kwa upande mwingine wikipedia ina nafasi kubwa sana hasa katika mazingira ya Afrika. Kwa sababu za kiuchumi siamini ya kwamba kamusi elezo itapatikana karibuni kwa Kiswahili kama kitabu kilichochapishwa. Lakini idadi ya vijana wanaotumia compyuta kwa njia ya mgahawa wa mtandao (internet cafe) inakua. Wikipdia itakuwa muhimu!
Naona tuendelee kuandika na kujenga wikipedia. Kila mmoja anayejiunga ni hatua mbele! Kama wewe unaona wito la kuangalia jiografia basi vizuri! Angalia masanduku ambazo nilitafsiri mimi au sanduku aliyoandaliwa na Matt halafu endelea! Kama una swali nitafurahi kutoa ushauri. --Kipala 17:07, 21 Aprili 2006 (UTC)Reply

Lugha ya kisayansi

Uandishi wa kisayansi, kwa majina ambayo ya wezi Kutamukwa kwa kiswahili ama hayako kwa Kiswahili, mfano; kwa biologia, jiografia na kadhalika, itabidi majina mengine ya andikwe kwa kuswahilisha (kiswahili),kulatiniza (latino) au Kuarabisha (Kiarabu).


Je, ni Yosef tena? (Kumbuka kuweka alama mbili -- na pia nne za ~~~~ baada ya kuandika - au afadhalia tumia kile alama ya tatu upande wa kulia hapa juu ya dirisha cha kuandikia - itaweka sahihi na tarehe). Kuhusu lugha ya sayansi sijaelewa vizuri naomba toa mifano miwili mitato unamaanisha nini kwa kuswahilisha (kiswahili), "kulatiniza (latino)" au "Kuarabisha (Kiarabu)".
(Iliandikwa na Yosef; niliisogeza ujumbe huo kutoka User:Kipala) Matt Crypto 17:26, 21 Aprili 2006 (UTC)Reply

Kurów

You are fucking vandal.

Mpendwa mwenzetu kama kiingereza chako si vizuri kwanini usijaribu Kiswahili? Ni lugha tamu zaidi hata kukashifu kunatokea tamu zaidi. --Kipala 18:45, 22 Aprili 2006 (UTC)Reply

Could you please write a stub http://sw.wikipedia.org/wiki/Kur%C3%B3w - just a few sentences based on http://en.wikipedia.org/wiki/Kur%C3%B3w ? Only 2 -5 sentences enough. Please. SORRY FOR VANDAL FROM POLAND. Pietras1988 20:12, 23 Aprili 2006 (UTC)Reply

See http://sw.wikipedia.org/wiki/Kurow! No point in using Polish ó as hardly anybody in this wikipedia knows how to type it. --Kipala 20:55, 23 Aprili 2006 (UTC)Reply
(sw) Tunaweza kutumia redirects. Nadahni ni afadhali kutumia orthography (mfumo wa herufi) ya mji mwenyewe, hasa kwa sababu tunaweza kubainisha mji wa Poland na mji wa New Zealand kwa "ó" ama "o". Hiyo ni sera ya Wikipedia zingine (k.m. en, de, fr, es, n.k.)  Matt Crypto 07:21, 24 Aprili 2006 (UTC)Reply


ha!

Bwana kipala... Ni yosef, nilisema lazima kilasiku nijaribu kuweka ukurasa mmoja. Enyewe mimi bado sijaelewa ama kuna template ya nchi ya wikipedia ya kiswahili, inaonekana matt crypto kaunda template au vipi? Nilijaribu aina hiyo ya template ya Angola, lakini sikufaulu, yenyewe ni rahisi na ninzuri kwa kusaswisha kurasa baadaye.

Salamu sana, asante kwa swali. Ninaelewa hivyo ya kwamba Matt amechukua ile fomu au templeti ya Kiingereza na kuiingiza katika wikipedia ya Kiswahili. Maana yake tukinakili templeti ile itaonekana kama Kiswahili katika sehemu zilizotafsiriwa. Hata mimi naona tatizo ya kwamba sina uhakika sehemu gani zimetafsiriwa na zipi sivyo. Lakini ni kweli ya kwamba inarahisisha kazi.
Labda ujaribu hivyo:
  • chukua makala kwa Kiingereza, tuseme Gabon. Bonyeza "edit", nakili sehemu ya templeti (yote!).
  • fungua ukurasa mpya ya sw.wikipedia.org/wiki/Gabon, bonyeza "Hariri", pachika templeti ya kiingereza
  • bonyeza "Mandhari ya mabadilisho", utaona ya kwamba sehemu kubwa inaonekana tayari Kiswahili
  • kazi gumu kidogo ni sasa kurukaruka kati ya sehemu ya juu na ya chini dirishani na kusahihisha sehemu zile zinazoonekana bado Kiingereza. Nilipojaribu mimi kwenye makala ya Algeria nimesahau sehemu kadhaa :
tazama sovereignty_type = Independence| na established_events = Declared | -- hapa niinapaswa kuweka Uhuru badala ya Independence na "tarehe" (au:"imetangazwa") badala ya "declared"
lakini inaiacha sasa ili wewe unapata nafasi kuona mfano. --Kipala 18:16, 27 Aprili 2006 (UTC)Reply

Mwanzo

OK, stimmt - sorry fürs reinschreiben!! --Kipala 20:24, 29 Aprili 2006 (UTC)Reply
don't panik, it is reverted @ Kipala you can do this when you open an older version, edit it and press save. greets --66.128.32.7 21:40, 29 Aprili 2006 (UTC)Reply


hallo nochmal: es wäre nett, wenn du das unter deinem eintrag in der deutschen wp klarstellen könntest, und bitte verwende in zukunft die diskussionsseiten, danke --66.128.32.7 16:49, 30 Aprili 2006 (UTC)Reply


Makala za msingi

Nimefurahia sana makala za msingi - asante!! Bahati mbaya mada ya lugha haitajwi. Je, tuiingize? (Pamoja na mada kama sarufi, sauti n.k.?) --Oliver Stegen 22:45, 1 Mei 2006 (UTC)Reply

Ni sawa tu ingawa hapo labda si muhimu sanasana - kwa macho yangu ni tayari mengi mno katika jamii fulani. Ila tu naona ni vema ukiangalia chombo cha "jamii" - tazama sw.wikipedia.org/wiki/Category:Lugha ! Kwanza ni vizuri ukiweka jina la makala humo, pia inaweza kufaa (ukipenda kuendelea na makala kuhusu lugha) ukiingiza jamii ndogo "Lugha za Kiafrika" halafu jamii ndogo nyingine "isimu" kwa ajili ya makala kama vile sarufi, sauti n.k.. --Kipala 23:02, 1 May 2006 (UTC)

Majina halisi

Samahani kwa kuchukua muda. Ni kwakuwa sikuona jambo kubwa la kupinga katika hoja zako. Ingawa hakuna ubaya kutumia majina halisi, kuna majina ambayo tayari yamezoeleka kwenye Kiswahili. Kwa mfano, Yesu (sio Jesus), Yohana Mbatizaji (sio John the Baptist), Mtume/Mtakatifu Paulo (sio Saint Paul), n.k. Kuhusu Roma/Rumi. Tatizo ni kuwa ukisema Roma kunakuwa na utata wa maana kwani jiji la Rome ni Roma. Wakati "roman empire" imezoeleka kama kwa jina "Rumi."

Ni haya kwa sasa. --Ndesanjo 5 Mei 2006


Asante kwa ushauri wako. Mimi naona hali halisi si tatizo tunaweza kutumia kurasa za #REDIRECT. Hata itakuwa afadhali. Kazi yetu ni kitu kipya katika dunia ya Waswahili ni kamusi elezo ya kwanza kabisa nisipokosei. Kwa hiyo wengine watatafuta "Roma", wengine "Rumi" - kwa redirect tunaweza kuwasaidia wote. --Kipala 15:11, 5 May 2006 (UTC)

Ushauri wa #REDIRECT ni sawa kabisa. --Ndesanjo 7 Mei 2006

Katowice

Hello. I'm wikipedia redactor from Poland. We do some action for tranlation atricle about one of the biggest polish city simple:Katowice. Could You make some translation into this wikipedia native language of this article ? Just a few senteces. Please. There is source article in English: en:Katowice.

Best Regards.

Stimoroll form Poland

Dictionary

Hello. I saw there is a few article requests from Poland. I have an idea to do mini dictionary for article translating. If You have a minute please translate sentences below into this wikipedia language:

  • city in poland "Mji wa Poland" (=Polish City)
  • located on the south/north/west/est/center part ya+kusini/kaskazini/magaharibi/mashariki/kati
  • population wakazi
  • area eneo
  • capital of the mji mkuu wa
  • voivodship (region, province) mkoa
  • city rights imepewa cheo cha mji (it was given the status of town)

Thats All. This sentences help us make STUB article about Polish cities. Best Regards Stimoroll

So yoou can try with: XYZ, mji wa Poland ya kusini ..... (XYZ, a town/city of=in southern Poland..)

Taxobox

Habari Kipala, nataka kukuuliza kama utaweza kutengeneza templeti ya “taxobox” kwa wiki ya Kiswahili. Au kuna mtu mwingine mtaalamu zaidi, Matt Crypto pengine? Aina ya templeti hii ni ngumu na sina nafasi ya kuifumbua. ChriKo 12:52, 30 May 2006 (UTC)

Matt ni mtaalamu wetu mwenyewe. Angalia ukurasa wake wa majadiliano User_talk:Matt_Crypto, nimeweka majaribio huko --Kipala 16:27, 30 May 2006 (UTC)
Mimi sasa nimetunga templeti mbili: Template:Uainishaji na Template:Mto. Angalia karasa za majadiliano za templeti hizo kwa maelezo ya kuzitumia. Marcos 00:11, 31 May 2006 (UTC)
Asante sana!! Mto ni safi - lakini uainishaji ina matatizo. Sehemu kubwa ya chini haionyeshi. Ukipata nafasi ya kuangalia "uainishaji" tena - itasaidia sana. Maswali mawili: A) je ni kazi kubwa kutengeneza matempleti mawili "uainishaji wa mimea" na "unainishaji wa wanyama"? B) Nimeona kwa templeti za Kijerumani ya kwamba wanaweka sehemu zinazotakiwa kubadilisha KWA HERUFI KUBWA. Je, inawezekana kwetu pia?
(na leo asubuhi nimeshangaa kwa sababu templati ya "sanduku ya mto" niliyojaribu jana inafanya kazi pia - lakini jana haikuonyesha sawasawa). --Kipala 08:17, 31 May 2006 (UTC)
Kumbe naona mfano "binadamu" inafanya kazi. Na kama kazi ni kutumia ngazi tofauti - ni kubadilisha tu maneno ya mfano wa mtu?. Labda itatosha nilvyojaribu hapo chini. Naona umefanya safi!
Bwana ChriKo, jaribu na toa taarifa! -- --Kipala 11:39, 31 May 2006 (UTC)
JINA
Faili:PICHA.PNG/JPG/SVG
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: JINA
Himaya: JINA
Nusuhimaya: JINA
Ngeli: JINA
Oda: JINA
Familia: JINA
Nusufamilia: JINA
Spishi: JINA
Nususpishi: JINA

Re: my talk page

Hi, Kipala! I'm very sorry, but I don't speak Swahili; I hire a translator to article. As for my bot, it's simply an installation of AutoWikiBot, (or Python Wikipedia Bot for Wikinews), so I'm sure it can do mindless repetetive tasks like mass-inserting images or categories, but I'm not sure about interwiki links. Messedrocker 21:38, 1 Juni 2006 (UTC)Reply

TJC Africa Pics

Greetings Kipala!

Here are some photos of our church members in Africa:

Regards -- Joseph, 09:06 Saturday 17 Juni 2006 (UTC)

Congratutalions, and some questions

Hi Kipala. I hope you understand English. Congratulations with the 1000 articles in Swahili! It's just great! It's probably the first encyclopedia in an original African language with more than 1000 articles, or?

I have been involved in Wikipedias in several other African languages, such as Bambara. I will be speaking about the Wikipedias I have been involved in. And I would be grateful if you could answer some questions. Also, any other remarks are welcome.

1. Where are you from? Where did you learn Swahili?

2. When did you hear about Wikipedia? And when about the Swahili Wikipedia? When did you start to contribute?

3. What do you think about the future of this project?

thanks, Guaka 20:35, 3 Agosti 2006 (UTC)Reply

Hi Guaka,
in short to your enquiries:
I am one of the Germans on this wikipedia; spent 13 years in East Africa altogether; during my 6 years as a church worker in TZ Kiswahili was my working language (I was teaching most of the time at secondary schools). The next 7 years in Nairobi was not much growth in the language.
I have been using wikipedia as a fast reference for some years. I decided to involve myself a bit in the German wiki because of too much nonsense in articles on topics with religious and historical references. Then I came about Sw-wiki and decided to invest a bit of time into it since December 2005.
Sw-wiki is in my opinion the only chance for this language to get something like an encyclopedia. I may lay low for quite some time to come - but its chance is coming with the spread of hardware in East Africa. Once it becomes useful it will be used. Main problem is that so far hardly any Tanzanian or Kenyan living in the country has been interested in it. So far this is a bunch of East Africans abroad (presumably working out on home sickness) and some wazungus (outsiders) who learned Swahili and have their sentimental reasons (or: hardcore ideological reasons) to invest time into this wiki. --Kipala 08:32, 11 Agosti 2006 (UTC)Reply

Masinde

Kipala, unajua nilifanya kosa. Nilipoweka ile makala ya Elijah Masinde, nilikuwa na nia ya kutoa changamoto kwa wanablogu na wazungumzaji wa kiswahili toka Kenya ambao wako mtandaoni ili waimalizie. Nilikuwa na nia ya kuwaambieni muiache. Nimeona huenda tunaweza kuweka makala fupi kuhusu mambo ambayo tunajua kuna watu wanayafahamu na kuyapenda kisha kuwapa changamoto kuiondoa katika fungu la makala mbegu. Nitafanya jaribio hilo kwa makala nyingine. Nitawaambieni. Naaamini wakianza kuchukua changamoto hii wataambukizwa ugonjwa tulionao unaotuleta hapa mara kwa mara kuandika na kuhariri. --Ndesanjo 2 Septemba 2006

Ndesanjo, pole sana, nimeharibu jitihada yako. Ila tu uliiweka bila kujiandisha sikujua ni wewe. Sentensi hii ya kwanza uliyoweka kama mtego wa kuwavua wale Wakenya sijaipenda - Masinde hakuwa kiongozi wa jadi wa Abaluhya bali nabii wa wakati mpya. Kosa ni katika makala ya Kiingereza uliyotafsiri (nisipokosei) lakini nilipoiona nilisikia sauti ya Elija Masinde kutoka juu akaniomba: Bwana, usiniache hivyo! Basi ningefanya nini?? Mimi ni mtu mwenye huruma...
Ilahali tukiandikiana: Ndesanjo wakati ulipokaa huko kwenye wikimania mimi nilirudi mara moja Moshi nikashangaa na kufurahia: Kibo ilikuwa imeongezeka theluji sijawahi kuona kiasi hiki tangu miaka mingi kabisa! Nitaweka picha yake kwenye makala! --Kipala 13:34, 2 Septemba 2006 (UTC)Reply
Sasa nimefanya makala ya Dini ya Musambwa kuwa changamoto.
Soma hapa: http://www.jikomboe.com/?p=1256 --Ndesanjo 2 Septemba 2006

Hello! journalist inquiry...

Hi! This is Amgine, and I work on communications for the Wikimedia Foundation.

I have a request from a journalist to find African Wikipedians who might be willing to be interviewed and photographed for a book. Because this is focused on people who are involved, there is a specific focus on finding photogenic volunteers. Is there any way you can help out with this request? - Amgine / m 16:35, 13 Septemba 2006 (UTC)Reply

I am surely not photogenic (if I understand the expression correctly). What do you mean by "African wikipedians"? --Kipala 16:50, 13 Septemba 2006 (UTC)Reply

Nice work

... these past two days! Sj 02:25, 28 Oktoba 2006 (UTC)Reply

Asante - siwezi kuendela kwa mkasi huu siku zote. --Kipala 14:25, 28 Oktoba 2006 (UTC)Reply
  Hii ni ukurasa wa Hifadhi ya Majadiliano ya Awali. Usihariri ukurasa huu usiongeze wala kupunguza kitu.
Ukitaka kujadiliana upya mambo yaliyomo humo nenda kwa ukurasa wa majadiliano ya sasa.
Rudi kwenye ukurasa wa mtumiaji wa " Kipala/Archive 1".