ISO 4217 ni kifupisho sanifu cha pesa za nchi zote. Kimewekwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (kwa Kiingereza "International Organization for Standardization, ISO").

Tiketi ya ndege ikionesha gharama katika msimbo wa ISO 4217

ISO 4217 ni orodha ya alama za vifupisho vya pesa. Kila kifupisho kina herufi tatu. Herufi mbili zinarejea nchi, na herufi ya tatu inarejea jina la pesa la nchi husika.

Kwa mfano,

  • kifupisho cha pesa ya Japani ni JPY, yaani JP kwa Japani, na Y kwa Yen.
  • kifupisho cha pesa ya Tanzania ni TZS, yaani TZ kwa Tanzania, na S kwa Shilingi.
  • vivyo hivyo Kenya ina KES, yaani KE kwa Kenya, na S kwa shilingi.
  • tofauti kwa sababu za mabadiliko ya kihistoria ni kifupisho cha pesa ya Uganda ni UGX, yaani UG kwa Uganda. X inaitaja shilingi mpya ya Uganda (tangu 1990). Hadi 1987 kifupisho cha ISO ilikuwa UGS kwa ajili ya shilingi ya kwanza iliyoharibika kabisa wakati wa utawala wa Iddi Amin na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyofuata, ikawa "old shilling" yenye kifupisho cha ISO UGW kwa kipindi cha 1989 to 1990 halafu tangu mwaka 1990 UGX pekee kwa shilingi mpya iliyokuwa sasa pesa halali ya pekee nchini Uganda.[1]

Orodha ya vifupisho vya ISO 4217 hariri

http://www.jhall.demon.co.uk/currency/ Archived 5 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Kifupisho Namba E Jina la Pesa Nchi zinazotumia pesa hiyo
AED 784 2 Dirham ya Falme za Kiarabu Falme za Kiarabu
AFN 971 2 Afghani Afghanistan
ALL 008 2 Lek Albania
AMD 051 2 Dram Armenia
ANG 532 2 Gulder Antili za Kiholanzi
AOA 973 2 Kwanza Angola
ARS 032 2 Peso ya Argentina Argentina
AUD 036 2 Dola ya Australia Australia, Australian Antarctic Territory, Christmas Island, Cocos (Keeling) Islands, Heard and McDonald Islands, Kiribati, Nauru, Norfolk Island, Tuvalu
AWG 533 2 Gulder ya Aruba Aruba
AZN 944 2 Manat Azerbaijan
BAM 977 2 Mark Bosnia na Herzegovina
BBD 052 2 Dola ya Barbados Barbados
BDT 050 2 Taka Bangladesh
BGN 975 2 Leva Bulgaria
BHD 048 3 Dinar ya Bahrain Bahrain
BIF 108 0 Faranka ya Burundi Burundi
BMD 060 2 Dola ya Bermuda) Bermuda
BND 096 2 Dola ya Brunei Brunei
BOB 068 2 Boliviano Bolivia
BRL 986 2 Real ya Brazil Brazil
BSD 044 2 Dola ya Bahamas Bahamas
BTN 064 2 Ngultrum Bhutan
BWP 072 2 Pula Botswana
BYN 933 2 Rubli ya Byelarusi Belarus
BZD 084 2 Dola ya Belize Belize
CAD 124 2 Dola ya Kanada Kanada
CDF 976 2 Faranka ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
CHE 947 2 WIR Euro (pesa ya ziada) Uswisi
CHF 756 2 Faranka ya Uswisi Uswisi
CHW 948 2 WIR Franc ya (pesa ya ziada) Uswisi
CLP 152 0 Peso ya Chile Chile
CNY 156 2 Yuan Renminbi China
COP 170 2 Peso ya Kolumbia Colombia
COU 970 2 Unidad de Valor Real Colombia
CRC 188 2 Colon Costa Rica
CUP 192 2 Peso ya Kuba Cuba
CVE 132 2 Escudo ya Cabo Verde Cape Verde
CYP 196 2 Pound ya Cyprus Kupro
CZK 203 2 Koruna Ucheki
DJF 262 0 Faranka ya Jibuti Jibuti
DKK 208 2 Krone ya Denmark Denmark, Faroe Islands, Greenland
DOP 214 2 Peso dominicano Dominican Republic
DZD 012 2 Dinar ya Algeria Algeria
EGP 818 2 Pound ya Misri Misri
ERN 232 2 Nakfa Eritrea
ETB 230 2 Birr Ethiopia
EUR 978 2 Euro Umoja wa Ulaya, angalia Eurozone
FJD 242 2 Dola ya Fiji Fiji
FKP 238 2 Pound ya Falkland Falkland Islands
GBP 826 2 Pound Sterling Uingereza
GEL 981 2 Lari Georgia
GHC 288 2 Cedi Ghana
GIP 292 2 Pound ya Gibraltar Gibraltar
GMD 270 2 Dalasi Gambia
GNF 324 0 Faranka ya Guinea Guinea
GTQ 320 2 Quetzal Guatemala
GYD 328 2 Dola ya Guyana Guyana
HKD 344 2 Dola ya Hong Kong Hong Kong
HNL 340 2 Lempira Honduras
HTG 332 2 Gourde Haiti
HUF 348 2 Forint Hungary
IDR 360 2 Rupia Indonesia
ILS 376 2 Shekel Israel
INR 356 2 Rupia Bhutan, Uhindi
IQD 368 3 Dinar ya Iraq Iraq
IRR 364 2 Rial Iran
ISK 352 2 Krona ya Iceland Iceland
JMD 388 2 Dola ya Jamaica Jamaica
JOD 400 3 Dinar ya Yordani Jordan
JPY 392 0 Yen Japani
KES 404 2 Shilingi ya Kenya Kenya
KGS 417 2 Som Kirgizia
KHR 116 2 Riel Cambodia
KMF 174 0 Faranka ya Komoro Comoros
KPW 408 2 Won ya Korea Kaskazini Korea Kaskazini
KRW 410 0 Won ya Korea Kusini Korea Kusini
KWD 414 3 Dinar ya Kuwait Kuwait
KYD 136 2 Dola ya Cayman Cayman Islands
KZT 398 2 Tenge Kazakhstan
LAK 418 2 Kip Laos
LBP 422 2 Lira ya Lebanoni Lebanon
LKR 144 2 Rupia ya Sri Lanka Sri Lanka
LRD 430 2 Dola ya Liberia Liberia
LSL 426 2 Loti Lesotho
LYD 434 3 Dinar ya Libya Libya
MAD 504 2 Dirham ya Moroko Morocco, Sahara ya Magharibi
MDL 498 2 Leu ya Moldova Moldova
MGA 969 0 Ariary Madagascar
MKD 807 2 Denar Jamhuri ya Masedonia
MMK 104 2 Kyat Myanmar
MNT 496 2 Tugrik Mongolia
MOP 446 2 Pataca Macau
MRO 478 2 Ouguiya Mauritania
MUR 480 2 Rupia ya Morisi Morisi
MVR 462 2 Rufiyaa Maldives
MWK 454 2 Kwacha ya Malawi Malawi
MXN 484 2 Peso ya Meksiko Mexico
MYR 458 2 Ringgit Malaysia
MZN 943 2 Metical Msumbiji
NAD 516 2 Dola ya Namibia Namibia
NGN 566 2 Naira Nigeria
NIO 558 2 Cordoba Oro Nicaragua
NOK 578 2 Krone ya Norwei Norway
NPR 524 2 Rupia ya Nepal Nepal
NZD 554 2 Dola ya New Zealand Cook Islands, New Zealand, Niue, Pitcairn, Tokelau
OMR 512 3 Rial Omani Oman
PAB 590 2 Balboa Panama
PEN 604 2 Nuevo Sol Peru
PGK 598 2 Kina Papua New Guinea
PHP 608 2 Peso ya Ufilipino Philippines
PKR 586 2 Rupia Pakistan
PLN 985 2 Zloty Poland
PYG 600 0 Guarani Paraguay
QAR 634 2 Rial ya Qatar Qatar
ROL 642 2 Leu ya Romania Romania
RON 946 2 Leu mpya Romania
RSD 941 2 Dinari ya Serbia Serbia
RUB 643 2 Rubli Urusi, Abkhazia, Ossetia Kusini
RWF 646 0 Faranka ya Rwanda Rwanda
SAR 682 2 Riyal Saudi Arabia
SBD 090 2 Dola ya visiwa vya Solomon Solomon Islands
SCR 690 2 Rupia Seychelles
SDD 736 2 Dinari ya Sudan Sudan
SDG 938 2 Lira ya Sudani Sudan
SEK 752 2 Krona ya Uswidi Sweden
SGD 702 2 Dola ya Singapur Singapur
SHP 654 2 Pound ya Saint Helena Saint Helena
SLL 694 2 Leone Sierra Leone
SOS 706 2 Shilingi ya Somalia Somalia
SRD 968 2 Dola ya Surinam Suriname
STD 678 2 Dobra São Tomé na Príncipe
SYP 760 2 Lira ya Syria Syria
SZL 748 2 Lilangeni Eswatini
THB 764 2 Baht Thailand
TJS 972 2 Somoni Tajikistan
TMM 795 2 Manat ya Turkmenistani Turkmenistan
TND 788 3 Dinari ya Tunisia Tunisia
TOP 776 2 Pa'anga Tonga
TRY 949 2 Lira ya Uturuki Uturuki
TTD 780 2 Dola ya Trinidad and Tobago Trinidad na Tobago
TWD 901 2 Dola ya Taiwan Taiwan
TZS 834 2 Shilingi ya Tanzania Tanzania
UAH 980 2 Hryvnia Ukraine
UGX 800 2 Shilingi ya Uganda Uganda
USD 840 2 Dolar ya Marekani American Samoa, British Indian Ocean Territory, Ecuador, El Salvador, Guam, Haiti, Marshall Islands, Micronesia, Northern Mariana Islands, Palau, Panama, Timor ya Mashariki, Visiwa vya Turks na Caicos, Marekani, Visiwa vya Virgin
UYU 858 2 Peso Uruguayo Uruguay
UZS 860 2 Som Uzbekistan
VEB 862 2 Bolívar Venezuela
VND 704 2 Dồng Vietnam
VUV 548 0 Vatu Vanuatu
WST 882 2 Tala Samoa
XAF 950 0 Faranka ya CFA - BEAC Kamerun, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Chad, Guinea ya Ikweta, Gabon
XAG 961 . Fedha (aunsi ya Troy moja)
XAU 959 . Dhahabu (aunsi ya Troy moja)
XCD 951 2 Dola ya Karibi Anguilla, Antigua na Barbuda, Dominica, Grenada, Montserrat, Saint Kitts na Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent na Visiwa vya Grenadini
XOF 952 0 Faranka ya CFA - BCEAO Benin, Burkina Faso, Côte d'Ivoire, Guinea-Bissau, Mali, Niger, Senegal, Togo
XPD 964 . Palladi (aunsi ya Troy moja)
XPF 953 0 Faranka ya CFP Polynesia ya Kifaransa, New Caledonia, Wallis na Futuna
XPT 962 . Platini (aunsi ya Troy moja)
YER 886 2 Rial ya Yemeni Yemen
ZAR 710 2 Rand Afrika Kusini
ZMK 894 2 Kwacha ya Zambia Zambia
ZWD 716 2 Dola ya Zimbabwe Zimbabwe

Marejeo hariri

  1. tazama List of codes for historic denominations of currencies & funds kwenye tovuti ya https://www.currency-iso.org, ilitazamiwa Mei 2017

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ISO 4217 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.