Mbarak
Imejiunga 18 Aprili 2008
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Mbarak
Ndugu Mbarak Omar karibu sana kwenye wikipedia ya Kiswahili! Tunamfurahia kila mmoja anayejiunga nasi na kujenga kamusi elezo ya kwanza ya lugha yetu. Ukiwa na swali lolote usikose kuuliza; kwa muda huo utaona hasa Muddy na mimi kazini lakini wako wengine pia. Kila mmoja yu tayari kusaidia kwa ushauri. Ni vema kuangalia makala za Msaada wa kuanzisha makala na kufuata aushauri wake. Mara ya kwanza na ya pili si rahisi kukumbuka kila kitu kwa hiyo inawezekana utaona masahihisho. Si kitu bali kawaida katika wikipedia. Sasa karibu tena ! --Kipala (majadiliano) 18:05, 19 Aprili 2008 (UTC)
- Mbarak, hiyo unayokuja nayo ni mikwara ya ajabu! Unajua sija kutia machoni muda mrefu sana? Halafu unaingia na karibisho la ajabu la mtumiaji Honest! Nimekubali mzee, unatisha. Sasa? Vipi ndiyo michano kama kawa au ndiyo mbwembwe kwa sana? Si unajua ile longi tangu skuli kutupiana macho kivile - hasa kimtandao kama hivi sometimes siyo ingawa maamuzi ya binafsi. Lakini ingekuwa mzuka kama una-baki mwana au unaonaje? Labda kidogo itaongeza misisimuko ya kimradi. Sana tu.-- MwanaharakatiLonga 10:06, 12 Novemba 2009 (UTC)
- Wow. Ahsanteni sana...kama kawa.--Muba (majadiliano) 16:45, 12 Novemba 2009 (UTC)
- Nitaanza kutunga makala siku za usoni.--TupaTupa (SEMA) 16:59, 12 Novemba 2009 (UTC)
Mimi mgeni
haririMimi mgeni humu mnikaribishe wakuu.