Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.
Flag of Tanzania.svg Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
55px-DSC 002307412007-03-31.jpg Mtumiaji huyu Anaishi Dar es Salaam.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Crystal Clear app kalarm.png Leo ni tarehe 6 Februari 2023.
Mbarak.

Ninaitwa Mbarak Omar Bakhatir. Ninatokea Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni mchangiaji wa kawaida katika Wikipedia hii ya Kiswahili. Lakini kwa sasa bado ningali mgeni! Natumai nitakuwepo.