Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 16:07, 13 Mei 2017 (UTC)Reply

We appreciate your intention of helping our Swahili Wikipedia and informing about Tanzanian Parks. You have to see, however, if the argument is present under another name. Thank you. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:30, 1 Septemba 2017 (UTC)Reply
Please, listen what we tell you. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:10, 11 Septemba 2017 (UTC)Reply

Mkoa wa Lindi, makala za kata hariri

Salaam naona unahariri kata za Mkoa wa Lindi lakini unaleta matini yasiyo ya maana. Naomba simamisha kazi hii, si wilaya bali kata. Angalia kwanza makala mengine na rudi kusahihisha! Kipala (majadiliano) 10:57, 13 Januari 2018 (UTC)Reply

Asante kwa sahihisho la kwanza nililiona. Ila tu naomba soma kwanza unachopakia. Sasa matini ni
"Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,713 Msimbo wa posta ni 65201 [1] walioishi humo."
yaa ni namba ya msimbo wa posta imekuwa idadi ya watu. Kipala (majadiliano) 11:09, 13 Januari 2018 (UTC)Reply
Naona pia ulianzisha staili ya kuandika namba zote (kama mwaka, idadi ya watu, msimbo wa posta) koze. Si kawaida utafakari inasaidia nini kama makala chache za kata zina staili hii na nyingi nyingine hazina. Uwezekano mkubwa sehemu hii ya kazi yako ni bure ikirudishwa na wengine. Kipala (majadiliano) 11:15, 13 Januari 2018 (UTC)Reply