Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

amani ni uhai: amani na utulivu ndiyo muhimu katika nchi yetu [Tazania] kama hakuna amani je, tungeishije?. "Si tungeishi kama wanyama?" Watanzania wenzangu nawasihi tuweni wazalendo katika nchi yetu Tanzania,pia tuweni watu wa uelewa kwa pamoja tujenge taifa letu.kumbukeni na wosia wa baba wa taifa julias K. nyerere.alisema nchi ijengeni kwa amani na kuizalendo nchi yenu hii iliyobarikiwa. Ondoeni roho za kinyama zisizo na maana, mungu ataibaliki [TANZANIA] MUNGU AWABALIKI VIONGOZI WOTE WA TANZANIA.AMEN

Migogoro ya ardhi

hariri

Huu mgogoro wa ardhi unanipa hamu ya kuongea.niulize kuhusu wanyamapori,naomba nipeni jibu je, ng'ombe si mnyamapori,kwanini basi mwatupa taabu wafugaji.huku mwapenda maziwa na samli na ngozi mwachuna.nyama choma mwaipenda.na gundi bila kwato hakuna.wakulima nao wanasema kilimo ni uti wa mgongo.basi nani mwenye umuhimu kati ya wafugaji na wakulima? Morogoro watu wanauawa kila siku, sababu ya haya mambo. Je? Migogoro hii itaisha lini? Serikali tuliangalieni hili jambo,maana ni jambo ngumu kwa ndugu wanavyozidi kujiua tu bila hata msingi.

Matatizo

hariri

Je, unatakiwa ufanye nini wakati ni mgeni humu wikipedia? je, kitu ngani utaazisha au kupata mwongoza sahihi wa kutumia wikipedia ? je, utahariri vipi kurasa zako? je, ni nini maana kamusi elezo? je, makosa ngani unaweza kutambua kuwa hapa nimekosa? maswali ambayo ni muhimu kwako.

http://.www.wikipedia.com

Kati ya sabato (jumamosi) na sabato (jumapili) ipi siku ya kweli ya kumwabudu mungu?

Rafiki katika wikipedia hakuna swali siku gani ni "siku ya kweli". Hatutoi mafundisho ya kidini. Tukiandika kuhusu dini tunaonyesha mafundisho ya dini mbalimbali. Hapa tutaona Wakristo kwa jumla hutumia hasa siku ya Jumapili (kuna sababu zake), Wakristo wachache wanatumia siku ya Jumamosi (tunataja sababu zao), Wayahudi wana siku ya Jumamosi, Waislamu zaidi siku ya Ijumaa kwa sala ya pamoja, wote wanaweza kukubali kila siku Mungu aabudiwe kwa namna fulani. Hapa hatuchukui upande. Hii si kazi yetu maana sisi ni kamusi elezo. Kipala (majadiliano) 19:51, 9 Desemba 2018 (UTC)Reply

Wanadamu kama kobe.

hariri

Ushawahi kujiuliza au kutafakari jinsi ya maisha ya wanadamu waishivyo? Unaweza kutambua kuwa sisi wanadamu ni mfano wa kobe,kwa sababu ya shida na majanga mengi yawapatayo wanadamu. "Kobe anatembea huku nyuma amebeba furushi la mzigo" bila shaka na sisi tujifananishe kobe. Maisha yetu mafupi na tunaenda wala haturudi,lakini mungu yupo kila masaa. Je, tutafanyaje ili nasi mungu atusamehe adhabu hizi nzito? Au tuwezaje kupambana na adui shetani? Yesu alisema "njooni nyinyi nyote wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" yesu alijua kuwa sisi tuna taabu ndiyo maana akatuita ili kupumzika. basi na wewe ndugu njoo upate pumziko amen

Maelekezo unayoyahitaji

hariri

Ndugu, usijione tunakuonea, kama vile sisi tusivyokuona eti, una nia mbaya. Ni kwamba hujaelewa matumizi ya Wikipedia. Kwanza upitie makala mbalimbali, uone zilivyotungwa, halafu soma vizuri lebo unayoikuta mwanzoni mwa ukurasa huu. Polepole utajifunza kufanya kama sisi au hata vizuri zaidi. Amani kwako!--Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:11, 14 Desemba 2018 (UTC)Reply

/*Majadiliano*/

hariri

Ni kweli kuwa maisha yetu ni magumu sana. Ila kumwomba mungu atupunguzie adhabu.