Hi Orland, you put a deletion tag to an article you obviously don`t understand (not the article nor the text of the deletion tag) and without giving any reasons on the appropriate pages. This is not a useful contribution. --Kipala (majadiliano) 11:04, 26 Januari 2009 (UTC)Reply

Hello, Orlando. As per Kipala, you have to provide a specific reasons which can make us to delete that article. We are still waiting for you, please try to elaborate. Cheers,--Mwanaharakati (Longa) 11:38, 26 Januari 2009 (UTC)Reply
Muddy naona tusimwombe kitu. Anajua utaratibu sijui anafikiri nini. Hana ya kusema na mimi nimeshatoa deletion tag ile. Akirudia nitakinga makala. --Kipala (majadiliano) 17:18, 26 Januari 2009 (UTC)Reply
Hello, and a good day to you all. I regret that I can't read or write your language. I engaged in the article about Lola Pagnani as a part of my efforts to fight and reduce cross-wiki-spamming. Since i cannot understand every wp language, i sometimes leave misguiding deletion notices like Speedy delete instead of ordinary delete, but i have to trust that responsible members of each wp community will understand the intentions behind my edit.
As for Ms Pagnani: My first impression was that this was self-promotion, but it has now come to my knowledge that the article, and the wide distribution of it, was made as a gift from a italian wikipedian to this actress, because it was christmas, and because she was expecting a baby. (See my discussion with him here). Seriously!!
It is a pattern for this contributor to operate very active (sometimes polite, sometimes unpolite) in order to make other people translate articles that he think is important to spread worldwide. Yesterday he was given a reprimade for that by an italian wp admin. I hope this explanation was satisfying for you!? Best wishes, --Orland (majadiliano) 19:55, 26 Januari 2009 (UTC)Reply
I do not think that you use an appropriate way to follow up on your intention. There is a page of debate to the article where you could have aired your view instead of entering a tag you don understand. It is removed and kindly do not try to put it back. Sioni faida kuendelea na mapolisi wanaojipa cheo. --Kipala (majadiliano) 20:11, 26 Januari 2009 (UTC)Reply
Kiko wapi sasa. Kumbe, huyu jamaa anachuki binafsi, kule kwao Norway kaifuta ile makala ilhali hajaandika yeye na wala hajui chochote kuhusu mwanamama huyu. Kwa mtazamo inaonekana ya kwamba huyu Mwitalia na yule dada mwigizaji ni marafiki. Hivyo kwa umaarufu wake wa vipindi vya televisheni na filamu kadhaa, ameamua kumwandika kwenye wikipedia kadhaa ikiwa kama zawadi ya yeye kwa kujipatia mtoto! Kingine: Ninavyojua mimi ikiwa wewe sio maarufu, basi katika IMDB kamwe hautakuwepo. Iweje huyu mama awepo? Basi tumwache jama na shoga yake waendelee kujimwaga! As for you Orland: this guy is my best friend. I used to ask him to write many articles about my country and he also used to ask me to write his favourite article! Karibu sana. --Mwanaharakati (Longa) 06:59, 27 Januari 2009 (UTC)Reply
Sababu yake kufuatilia hii ni mchezo wa watu kadhaa wanaosukuma jina fulani mara nyingi kwa kujitangaza wenyewe. Mfano ni Jens Fink-Jensen nilimkuta kati ya makala 150 za kwanza nilipoingia. Mwingine ni True Jesus Church na sasa huyu mama. Maana unapata watu wanaopenda ama kujitangaza wenyewe au kumwona mtu fulani apatikane mtandaoni kwa lugha nyingi iwezekanavyo. Kwa njia hii tunapata habari za nchi fulani kuwa makala 3: nchi yenyewe, mji mkuu halafu kijiji fulani kwa sababu mtu mmoja anapenda kusambaza habari za kijiji alikozaliwa. Ni mchezo na pia usumbufu. Lakini kama mwanawikipedia unaamua kutafsiri makala basi azimio lako sipendi ya kwamba mtu wa nje asiyeelewa kitu anaingilia kati. Katika wikipedia nyingi wanaona ni usumbufu wa spam. Hasa kama mtu mmoja anaombwa atafsiri anakataa na huyu anaendelea kuwasumbua watu wengine. True Jesus Church ilikuwa hivi na sijisikii vizuri ya kwamba mwishowe niliandika kitu (si kile alichotaka huyu) kwa sababu ilikuwa kupoteza muda kuandika kuhusu kundi lile dogo wakati makundi muhimu ya kidini hayapo bado. --Kipala (majadiliano) 08:44, 27 Januari 2009 (UTC)Reply
Ninashukuru kwa kuiacha hii makala iendelee kuwepo! Basi akijamwingine msumbufu na asiyetaka kukubali masharti ama taratibu zetu, basi nitamzuiya kamwe asikanyage hapa! Mengineyo ni ya kutakiana kheri na maisha mema!--Mwanaharakati (Longa) 09:27, 27 Januari 2009 (UTC)Reply