Tofaa
Imejiunga 29 Mei 2009
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Salam Nd. Tofaa. Karibu katika Wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Nimeona ukiandika makala kadhaa za dini na masuala ya shule. Tafadhali tazama majadiliano kuhusu makala ya Shule ya Biblia, hapa.--Mwanaharakati (Longa) 16:12, 29 Mei 2009 (UTC)