Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Edward ambele (majadiliano) 13:25, 17 Agosti 2024 (UTC)Reply

Ndugu, tafadhali simama! Kwanza jitahidi kuelewa zaidi namna ya kuhariri. Unanipotezea muda mwingi kurejesha mabadiliko yako mengi... Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:28, 21 Oktoba 2024 (UTC)Reply
Sawa Nimekuelewa Yymiami (majadiliano) 20:48, 23 Oktoba 2024 (UTC)Reply

Makala sizizo na Mpangilio

hariri

Habari ndugu @Yymiami tunafurahi kwa kujiunga nasi katika kuendeleza wikipedia yetu ya kiswahili, ila kabla ujaanza kurekebesha makala ambazo wengine wametengeneza rudi kwenye ukurasa wako wa michangi na upitie makala ulizowahi kutengeneza na uziboreshe kwani hazina mpangilio mfano makala ya Marie Christiane Agathe. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 15:12, 21 Oktoba 2024 (UTC)Reply

Mpangilio wa makala

hariri

Habari ndugu @Yymiami naomba ufwatilie makala zako zinavyo rekebishwa na wengine ili ujifunze mpangilio ni namna gani makala inatakiwa kuwa la sivo nitakufungia kuhariri makala. Amani kwamo Justine Msechu (majadiliano) 18:22, 23 Oktoba 2024 (UTC)Reply

Sawa Nimekuelewa Yymiami (majadiliano) 20:49, 23 Oktoba 2024 (UTC)Reply

Viungo katika makala

hariri

Habari @Yymiami naomba usome utaratibu wa namna ya makala yawikipedia inavyoandikwa, soma ata mifano ya makala za wahariri wengine wanavyounda na ufwate muundo, 2: naomba makala zote ulizo unda leo ukazirekebishe ukishajua namna ya kuandika ivyo naweka pendekezo ya kuzifuta mpaka urekebishe. Amani kwako. fwata mfano wa makala hii Edwin Koech Justine Msechu (majadiliano) 10:47, 9 Novemba 2024 (UTC)Reply

Kidogo nimerekebisha mimi ili kuokoa jahazi, lakini bado. Harakaharaka haina baraka: unafanya wanaume kuwa wanawake na baiskeli kuwa farasi!!! Pia uweke link na lugha nyingine! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:24, 9 Novemba 2024 (UTC)Reply