Makaburi ya Masultani, Zanzibar

Makaburi ya Masultani yapo kadhaa katika kitongoji cha Forodhani, Zanzibar.

Kaburi ambalo halijaisha la Seyyid Said, Zanzibar (1920).

Kutokana na mila za nyakati za zamani maeneo ya maziko yalitakiwa kuwa karibu na nyumba.

Familia ya sultani ilizikwa haswa karibu na ikulu. [1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-13.