Makumbusho ya Prempeh
Makumbusho ya Prempeh (kwa Kiingereza: Prempeh Jubilee Museum) yanapatikana katika mji wa Kumasi, mkoa wa Ashanti, nchini Ghana.[1]
Makumbusho hayo yalianzishwa mwaka 1954.
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "The Prempeh Jubilee Museum". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo 2020-05-05.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Prempeh kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |