Malo (pia: Maclou, Maloù, Mac'h Low, Maclovius au Machutus[1] ; Llancarfan, Glywysing, Wales, 520 hivi - Archambiac, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 15 Novemba 621) alikuwa mmonaki nchini kwake, chini ya binamu yake Samsoni wa Dol[2], halafu askofu mmisionari wa Aleth huko Bretagne[3].

Mt. Malo alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Léon Fleuriot, Les Origines de la Bretagne, ed. Payot, 1982, p. 150 and 281.
  2. Emanuel, Hywel David. "Malo", Dictionary of Welsh Biography, 1959
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/77760
  4. Martyrologium Romanum, 2004, Vatican Press (Typis Vaticanis).

Vyanzo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.