Maloni wa Rouen (pia: Mallone, Mallono, Melanio, Mellone, Mallonus, Mellonus, Mellon; Llanewrwg, Welisi, 229Hericourt, Ufaransa, 314) alikuwa askofu wa Rouen (Ufaransa).[1][2] Ndiye anayehesabiwa kuwa mwanzilishi wa Kanisa huko kwa kuleta katika mji huo imani ya Kikristo [3].

Mt. Maloni katika dirisha la kioo cha rangi katika Saint Ouen's church, Rouen, 1325/1339.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba.[4]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.