Mamalia wa baharini

Mamalia wa baharini ni mamalia wa majini ambao wanaishi na kupata riziki zao baharini. Ni wanyama wa spishi mbalimbali (129) jamii ya mamalia ambazo hazihusiani kwa asili, ila zimefuata njia zinazofanana kidogo katika kuzoea kwa kiasi tofauti mazingira hayo badala ya kuendelea kuishi katika nchi kavu[1][2].

Nyangumi mmojawapo (Megaptera novaeangliae).
Hydrurga leptonyx wa jamii ya Walanyama.

Tanbihi hariri

  1. Kaschner, K.; Tittensor, D. P.; Ready, J.; Gerrodette, T.; Worm, B. (2011). "Current and Future Patterns of Global Marine Mammal Biodiversity". PLoS ONE 6 (5): e19653. Bibcode:2011PLoSO...619653K. PMC 3100303. PMID 21625431. doi:10.1371/journal.pone.0019653. 
  2. Pompa, S.; Ehrlich, P. R.; Ceballos, G. (2011-08-16). "Global distribution and conservation of marine mammals". Proceedings of the National Academy of Sciences 108 (33): 13600–13605. Bibcode:2011PNAS..10813600P. PMC 3158205. PMID 21808012. doi:10.1073/pnas.1101525108. 

Marejeo hariri

  • Perrin, W. F.; Wursig, B.; Thewissen, J. G. M. (2009). [[[:Kigezo:Google books]] Encyclopedia of Marine Mammals] (2nd ed.). San Diego: Academic Press. ISBN 978-0-0809-1993-5. OCLC 316226747. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia wa baharini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.