Manitoba
Manitoba ni jimbo la Kanada upande wa Ghuba ya Hudson. Mji mkuu na mkubwa ni Winnipeg. Una eneo la 647,797 km². Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 1,213,815.
Manitoba | |||
|
|||
Nchi | ![]() | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Winnipeg | ||
Eneo | |||
- Mkoa | 553,556 km² | ||
Tovuti: http://www.mb.ca/ |
Jimbo umepakana na Nunavut, Ontario, North Dakota, Minnesota na Saskatchewan. Maziwa makubwa ni Ziwa Winnipeg, Ziwa Manitoba na Ziwa Winnipegosis. Kuna maziwa takriban 110,000 jimboni.
Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa
Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1870.
Gavana wa jimbo ni John Harvard.
Miji MikubwaEdit
Viungo vya NjeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manitoba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |