Manuela Zinsberger

Mchezaji wa mpira wa miguu wa australia

Manuela Zinsberger (alizaliwa 19 Oktoba 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Austria ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake nchini Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Austria.

Zinsberger mnamo 2017

Marejeo

hariri
  1. "Nationales Zentrum". 12 Machi 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manuela Zinsberger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.