Marangu Kitowo ni kata ya Wilaya ya Rombo katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,539 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,734 [2] walioishi humo.

Iko kati ya mita 1700 na 1950 juu ya usawa wa bahari. Hali ya hewa ni nzuri sana kutokana na milima, mabonde na mito yenye maji majira yote ya mwaka. Ndizi zinalimwa kwa wingi; pia maharage, kahawa, viazi na mboga za aina nyingi.

Kijiji kina maendeleo mazuri, ila barabara bado hazitunzwi vizuri, hivyo vipindi vya mvua zinapitika kwa shida.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Rombo DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-23. 
  Kata za Wilaya ya Rombo - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania  

Aleni | Chala | Holili | Katangara/Mrere | Kelamfua/Mokala | Kingachi | Kirongo Samanga | Kirwa Keni | Kisale Msaranga | Kitirima | Mahida | Makiidi | Mamsera | Manda | Marangu Kitowo | Mengeni | Mengwe | Motamburu Kitendeni | Mrao Keryo | Nanjara | Ngoyoni | Olele | Reha | Shimbi | Shimbi Kwandele | Tarakea Motamburu | Ubetu Kahe | Ushiri Ikuini

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marangu Kitowo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.