Marcela Pezet (amezaliwa 23 Aprili 1973) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Mexiko.

Marcela Pezet.

Pezet aliwahi kuwa mmoja kati ya wasanii maarufu sana katika miaka ya 2000, baada ya kucheza tamthilia ya La Revancha (2000) humo alitumia jina la Isabela Ruiz, ambaye pia aliigiza kuwa kama ndugu wa Soledad Ruiz, au kama weingi wanavyomjua kwa kumwita Danna Garcia.

Tamthilia alizoigiza

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcela Pezet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.