Mario Pašalić (alizaliwa 9 Februari 1995) ni mchezaji wa soka wa Kroatia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Atalanta, kwa mkopo kutoka klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Chelsea F.C., na timu ya taifa ya KroATia.

Mario Pašalić

kazi ya klabu hariri

Alianza kazi yake na klabu ya Hajduk Split kabla ya kuhamia Chelsea kwa mkopo wa milioni 3 mwaka 2014. Chelsea aalimpeleka kwa mkopo katika klabu ya Elche na baadaye Monaco, Milan, Spartak Moscow na Atalanta.

Kazi ya kimataifa hariri

Pašalić alifanya mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa Kroatia mwaka 2014.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Pašalić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.