Orchestra Maquis Original

(Elekezwa kutoka Marquis Original)

Orchestra Maquis Original ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Lubumbashi (Zaire) inayokaa Dar es Salaam.

Ilianzishwa mwaka 1970. Waligundua mitindo kamanyola bila jasho, sanifu, ogelea piga mbizi na zembwela.

Wanachama kadhaa hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orchestra Maquis Original kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.