Marselino, Satuli na wenzao

Marselino, Satuli na wenzao Prokula, Kwiriako, Rejina na Saturnini walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao pamoja na wengine wanne wasiojulikana kwa jina.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Aprili[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.