Marselo wa Apamea (alifariki Apamea, Siria, 390 hivi) alikuwa askofu wa mji huo anayeheshimiwa tangu kale kama mtakatifu mfiadini kwa kuwa aliuawa na Wapagani kwa ajili ya imani yake baada ya yeye kubomoa mahekalu kadhaa ya miungu kama ilivyoagizwa na kaisari Theodosi Mkuu.[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.